Maisha
Mama amuua kwa moto mtoto wake baada ya kuiba TZS 2,800
Polisi Kaunti ya Kisumu nchini Kenya wanamshikilia mwanamke anayejulikana kwa jina la Jacinter Akinyi (47), kwa tuhuma za kumchoma moto na kumsababishia ...Dkt. Samia: Kazi inayoendelea ni kuupa hadhi utu wa mtu
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu amesema ikiwa wananchi watampa ridhaa Oktoba 29, 2025 kazi itakayoendelea kuupa hadhi utu ...‘House boy’ kortini kwa tuhuma za shambulio la aibu kwa mtoto
Fred Kelendo Marekioli (19) mfanyakazi wa ndani (House boy) na mkazi wa Nyakato mkoani Mwanza, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Nyamagana ...Ashikiliwa kwa mauaji ya mdogo wake wa miaka mitano
Jeshi la Polisi mkoani Mara linamshikilia Nyabusa Musa Daudi (31) kwa tuhuma za mauaji ya Ibrahim Wambura Daudi (05) mkazi wa kijiji ...Mwalimu mbaroni kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi
Jeshi la Polisi Wilaya ya Igunga mkoani Tabora linamshikilia Torbeth Peter (39) mwalimu wa shule ya Sekondari Kata ya Igurubi kwa tuhuma ...Watano wakamatwa kwa tuhuma za utekaji Kenya
Maafisa wa upelelezi (DCI) katika Kaunti ya Kiambu wamewakamata watu watano wanaoshukiwa kuhusika na tukio la utekaji nyara huko Ruaka nchini Kenya. ...








