Maisha
Waziri Nape: Laini ambazo hazijahakikiwa kufungwa Februari 13
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ametangaza kuwa laini zote zilizosajiliwa kupitia vitambullisho vya watu wengine zitafungiwa Februari ...Masharti manne yaliopunguzwa Bima ya Afya kwa Wote
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Serikali imesikia maoni ya Watanzania hivyo kufanya marekebisho ya Muswada wa Sheria ya Bima ya Afya ...Jela miaka 30 kwa kumbaka mdogo wake ili awe tajiri
Mahakama mkoani Iringa imemkuta na hatia Frank Kigomba (31) mkazi wa Kijiji cha Kising’a na kumhukumu kifungo cha miaka 30 jela pamoja ...Misri yawataka raia wake kula miguu ya kuku kutokana na mfumuko wa bei
Taasisi ya Kitaifa ya Lishe nchini Misri imetoa wito kwa watu kula miguu ya kuku badala ya nyama kutokana na gharama ya ...Watoto chini ya miaka 15 wajihusisha na wizi na ubakaji
Wananchi wa Kijiji cha Puma Wilaya ya IKungi mkoani Singida wamewalalamikia baadhi ya watoto wenye umri chini ya miaka 15 katika wilaya ...Askari TANAPA auawa kwa mshale wenye sumu
Afisa Uhifadhi wa Wanyamapori Daraja la Kwanza wa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, Deus Mwakajegele ameuawa kwa kuchomwa mshale na watu wasiojulika ...









