Maisha
Ajali yaua 18 Mafinga
Watu 18 wamefariki dunia kufuatia ajali ya gari iliyohusisha basi dogo aina ya Costa na lori la mizigo eneo la Changarawe, Mafinga ...Kijana aliyemwandikia Rais Samia barua apewa milioni 5
Rais Samia Suluhu Hassan amempatia mtaji wa biashara na fedha za kujikimu kijana Yassin Said mwenye ulemavu wa ngozi, baada ya kijana ...Tiba rahisi ya kutengeneza nyumbani ya kuondoa weusi kwenye makwapa
Baadhi ya watu hushindwa kuvaa mavazi yatakayoacha wazi makwapa yao kwa sababu ya rangi nyeusi iliyopo kwenye makwapa. Hili ni tatizo ambalo ...Kikwete akerwa na vijana kuchati badala ya kusoma vitabu
Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete amesema hafurahishwi na tabia ya vijana wengi kutumia muda mwingi kuchati kwenye simu na kuacha utamaduni wa ...Je! Unaweza kumwambia mpenzi wako kuwa anatoa harufu mbaya mdomoni?
Usafi wa kinywa ni tatizo ambalo wataalamu wanaamini kuwa karibu asilimia 25 ya idadi ya watu duniani wameathirika na tatizo hili. Watu ...Uchunguzi umedai wanafunzi walijichora tattoo kwa mapenzi yao
Baada ya taarifa kusambaa mitandaoni kuhusu wanafunzi kuchorwa ‘tattoo’ na mwanafunzi mwenzao anayedaiwa kutumwa na dada wa kazi, na wengine kuzihusisha na ...