Maisha
Ndege tatu za ATCL zasimamishwa kuendelea na kazi
Serikali imesema kusimamishwa kwa safari za ndege tatu za Airbus 220 za Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) zimetokana na hitilafu za kiufundi, ...Uvaaji viatu virefu husababisha matatizo ya nyonga na mgongo
Daktari bingwa kutoka Taasisi ya Mifupa (MOI) katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Willium Mgisha amesema watu wanaovaa viatu vyenye visigino virefu kwa ...Kenya: Mahakama Kuu yasitisha tozo za miamala kati ya benki na simu
Mahakama Kuu nchini Kenya imeamuru Safaricom pamoja na benki kuu kusitisha tozo kwa miamala inayofanywa kati ya benki na M-Pesa mpaka pale ...Mvulana wa miaka 17 ashikiliwa kwa kuwapa mimba wanawake 10
Jeshi la Polisi la Jimbo la Rivers Nigeria limemkamata mvulana mwenye umri wa miaka 17 aliyetambulika kwa jina la Noble Uzuchi na ...Afariki kwa kuchapwa viboko 280 baada kumtukana mama yake
Nelson Mollel (32) mkazi wa Sanawari wailayani Arumeru mkoani Arusha amefariki baada ya kuchapwa viboko 280 na vijana wa mila wa eneo ...Taarifa ya TCRA kuhusu vocha za simu ‘kupandishwa’ bei
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dkt. Jabir Bakari amesema hakuna vocha zilizopanda bei, na kama zipo ni utapeli ambao ...









