Maisha
Mashabiki wa Arsenal wafanya maombi ya kitaifa
Mashabiki wa Arsenal nchini Kenya leo wamefanya siku yao ya kitaifa ya maombi kuombea mafanikio ya timu hiyo. Wafuasi hao hufanya ...Avunjwa miguu na kiuno na Mkuu wa Kituo cha Polisi kwa kutembea na mke wake
Askari Polisi ambaye pia ni Mkuu wa Kituo kidogo cha Polisi Kiseke kilichopo Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza a anatafutwa na Jeshi ...Mexico yasitisha kumpeleka mtoto wa El Chapo nchini Marekani baada ya watu 29 kuuawa
Jaji kutoka Mexico City amesitisha zoezi la kumpeleka nchini Marekani Joaquín ‘El Chapo’ Guzmán, ambaye ni mtoto wa mfanyabiashara mkubwa wa dawa ...Watoto wafariki kwa kutumbukia kisimani wakicheza
Watoto wawili, mmoja wa miaka 3 na mwingine wa mwaka mmoja na nusu wakazi wa Nyantorontoro B Halmashauri ya Mji Geita mkoani ...Msichana wa kazi ashitakiwa kwa tuhuma za kumuua bosi wake
Msichana wa miaka 15, anayejulikana kwa jina la Sarah Mwendesha amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Ilemela kwa tuhuma ...LATRA: Hakuna mwananchi atakayeshindwa kulipa ongezeko la nauli
Baraza la Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini (LATRA CCC) limesema kuna sababu mbalimbali za kuongezeka kwa nauli zikiwemo uendeshaji wa usafiri ...









