Maisha
Ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumbaka mtoto wake wa kambo wa miaka mitatu
Mahakama ya Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha imemhukumu kifungo cha maisha jela, John Sanare Lukuaya (23) mkazi wa Kijiji cha Kimnyaki, Kata ...Mwenyekiti UVCCM auawa baada ya kufumaniwa
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Ramadhani Hamisi (30) wa Kata ya Kaselya, Iramba mkoani Singida ameuawa kwa ...Upelelezi wa kesi ya aliyekuwa kocha wa makipa Simba na wenzake umekamilika
Upelelezi wa kesi ya usafirishaji wa dawa za kulevya aina ya Heroine kilogramu 34.89 inayomkabili aliyekuwa kocha wa makipa wa klabu ya ...Dawa za kulainisha choo zinavyochangia mawe kujaa kwenye figo
Matumizi holela ya dawa za kulainisha choo ‘laxactive’ yamedaiwa kuwa moja ya chanzo cha kuathiri mfumo wa chakula pale zinapotumika bila maelekezo ...New York yahalalisha miili kugeuzwa mbolea baada ya kifo
New York imekuwa jimbo la sita nchini Marekani kuhalalisha mtu kugeuza mwili wake kuwa udongo baada ya kifo chake, hatua iliyoonekana kama ...Mtangazaji Gerald Hando aadhibiwa na EFM
Mtangazaji Gerald Hando aadhibiwa na EFM Uongozi wa EFM na TVE imechukua hatua dhidi ya Mtangazaji Gerald Hando kufuatia kauli yake ...









