Maisha
Sababu 6 kwanini unapaswa kutumia asali badala ya sukari kwenye chai
Asali pamoja na sukari vyote vina ladha tamu na vyote hutumika katika chai, ingawa watu wengi wamezoe kutumia sukari zaidi kuliko asali. ...Mambo 5 unayofanya kila siku yanayopunguza muda wako wa kuishi
Kila mtu anatamani kuishi muda mrefu, wengi wanajua nini cha kufanya au kutokufanya ili kufikia lengo hilo, lakini sio wote wenye utayari ...NEMC kuzishughulikia kumbi za starehe zinazopiga kelele usiku
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetoa onyo kali kwa baadhi ya wamiliki wa kumbi za starehe wanaondelea ...Flyover ya Chang’ombe yaanza kutumika leo
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema Serikali imeruhusu magari kupita katika barabara ya juu (Flyover) ya makutano ya Barabara ...Mwendokasi Mbagala kuanza Machi 2023
Wakala wa Usafiri wa Mabasi yaendayo Haraka (DART) umesema usafiri wa mabasi yaendayo haraka kwa barabara ya Mbagala kuelekea Gerezani utaanza Machi ...LATRA: Kondakta lazima awe na cheti na asajiliwe
Mkurugenzi wa Mamlaka Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), Johansen Kaatano amesema mamlaka inajiandaa kuwasajili na kuwapa vyeti makondakta wa daladala na mabasi yaendayo ...