Maisha
Mchungaji afariki baada ya kufunga kwa siku 8 bila kula
Mchungaji wa kanisa ambalo halijafahamika Abdiel Raphael (42) mkazia wa Mtaa wa Uwanja kata ya Nyankumbu mkoani Geita amefariki dunia kwa njaa ...Amzika mtoto wa wiki mbili akiwa hai ili apate muda wa kujiuza
Mtoto mwenye umri wa wiki mbili amefariki dunia baada ya mama yake aliyefahamika kwa jina la Oliva Meshack, mkazi wa Mtaa Buselesele ...Padri kizimbani kwa tuhuma za wizi milioni 20
Padri Baltazar Sulle (63) ambaye ni Paroko wa Parokia ya Haydom, Kanisa Katoliki Jimbo la Mbulu Mkoa wa Manyara amepandishwa kizimbani katika ...Mambo 6 ya kuzingatia katika mwezi wa mwisho kabla ya kujifungua
Kuwa mzazi ni mojawapo ya zawadi kubwa zaidi ulimwenguni. Mwezi wa mwisho katika ujauzito wako ni hatua muhimu kwani ndiyo mwezi uliojawa ...Serikali yaeleza chanzo cha kifo cha mwandishi wa TBC aliyefia Ml. Kilimanjaro
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Mwandishi wa habari wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Joachim Kapembe amefariki kwa ajali ya ...Uganda: Wanandoa wa Marekani wakamatwa kwa kumtesa mtoto wa kuasili
Mamlaka nchini Uganda imewashitaki wanandoa wawili wenye asili ya Marekani kwa kosa la kumtesa mtoto wao waliomuasili (adopt), mwenye umri wa miaka ...









