Maisha
Mchungaji kutoka DR Congo aondolewa nchini kwa mara ya tatu
Idara ya uhamiaji nchini kwa kushiriana na Ubalozi Mdogo wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo uliopo mkoani Kigoma, imemrejesha kwao raia wa ...Diwani aliyepotea kwa miezi mitatu akutwa kwa mwanamke Tabata
Jeshi la Polisi limesema Diwani wa Kata ya Kawe, Mutta Mwakatare (43) mkazi wa Mikocheni Kinondoni aliyetoweka tangu Februari mwaka huu amepatikana. ...Akamatwa kwa kujaribu kukata sehemu za siri za dereva teksi
Mwanaume mmoja huko Chimoio katikati mwa Msumbiji, anashikiliwa na Polisi baada ya kukiri kujaribu kukata sehemu za siri za dereva wa teksi. ...Kijana afa maji akishindania TZS 4,000 kwa kuogelea
Mkazi wa Kitongoji cha Manyala, Kijiji cha Nyabange wilayani Butiama, mkoa wa Mara, Katamala Jackson (29) amefariki dunia kwa kuzama kwenye bwawa ...Arusha: Wananchi washambuliwa na mawe kutoka kusikojulikana
Wakazi wa Kijiji cha Kiwawa Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha wameingia kwenye taharuki baada ya mawe kurushwa kwenye maeneo yao na watu ...Nini cha kufanya unapompenda mtu ambaye huwezi kuwa naye?
Hivi mtu huchagua wa kumpenda? Kama ndivyo unapochagua, unayemchagua naye anakuchagua? Ikiwa unayempenda hakupendi, utafanya nini? Maswali hayo yatakuwa na majibu mbalimbali ...