Maisha
Wakenya wachukua mikopo ili kununua vyakula kutokana na mfumuko wa bei
Baadhi ya Wakenya wamelazimika kuchukua mikopo kwa ajili ya kununua chakula baada ya gharama ya maisha kupanda kwa kiasi kikubwa na kupelekea ...Maambukizi ya UVIKO-19 nchini yaongezeka kwa 62%
Serikali kupitia Wizara ya Afya imesema katika kipindi cha Oktoba 29 hadi Desemba 02, 2022 jumla ya visa vipya 442 vimethibitika kuwa ...Ishara 9 zinazothibitisha umekutana na mpenzi wa maisha yako (soulmate)
Mwenzi wa roho ‘soulmate’ anaweza kuelezewa kama mtu anayelingana nawe kamili. Mtu anayekuelewa na kukupa upendo, anayekubalika bila masharti. Mahusiano haya yanahusisha ...Wanawake wabakwa wakienda kutafuta maji
Baadhi ya wanawake na wasichana kutoka katika kata ya Lyamidati, Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga wamedaiwa kukumbana na vitendo vya unajisi na ...Ahukumiwa jela kwa kutumia cheti cha mtu mwingine kujiunga chuo
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu Elina Masawe kifungo cha miaka mitatu jela kwa kosa la kutumia cheti cha kidato cha nne ...









