Maisha
Serikali ya Taliban yapiga marufuku vitabu vilivyoandikwa na wanawake
Taliban imeondoa vitabu vilivyoandikwa na wanawake kwenye mtaala wa vyuo vikuu nchini Afghanistan, pamoja na kupiga marufuku masomo ya haki za binadamu ...Lori lagongana na basi uso kwa uso watu 9 wafariki Dodoma
Watu tisa wamefariki na wengine 16 wamejeruhiwa baada ya basi la abiria la Babu Trans lililokuwa likitokea Kondoa kuelekea Dodoma kugongana, uso ...Mwanafunzi abakwa na kisha kumwagiwa tindikali na wasiojulikana Kenya
Hali ya huzuni imetanda katika kijiji cha Rabuor, Kamsama, Kaunti ya Homa Bay nchini Kenya baada ya mwanafunzi wa kike mwenye umri ...Auawa kwa kisu baada ya mabishano ya Simba na Yanga
Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Evaristo Mwambogolo (28), mkulima na mkazi w Ululu wilayani Mbozi mkoani Songwe amefariki duniani baada ya ...Mume amuua mke na kisha kujiua kwa kisu
Mwanaume aliyejulikana kwa jina la Ibrahim Shida (24) mkazi wa Kijiji cha Sirorisimba anadaiwa kumuua aliyekuwa mke wake, Tatu Marwa (25) kwa ...Luhaga Mpina aondolewa kwenye kinyang’anyiro cha Urais
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imekubali pingamizi lililowasilishwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari dhidi ya uteuzi wa Mgombea ...








