Maisha
Binti amshtaki ‘baba mkwe’ kwa kukataa asiolewe na kijana wake
Binti mmoja katika jimbo la Kaduna nchini Nigeria amemshtaki baba mkwe wake katika Mahakama ya Kiislamu (Sharia) kwa kumzuia kuolewa na mpenzi ...Familia imemfungulia kesi mwanafunzi mzungu aliyekojolea kompyuta ya kijana mweusi
Familia ya mwanafunzi mweusi mwenye umri wa miaka 20 ambaye alikuwa mwathiriwa wa tukio linaloshukiwa kuwa tukio la ubaguzi wa rangi katika ...Ukata wa fedha wapelekea vituo 10 vya polisi kufungwa
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hamza Hassan Juma ametoa sababu mbalimbali za kufungwa kwa vituo ...Dodoma: Wazazi watoa rushwa watoto waachishwe shule wakafanye kazi za ndani
Baadhi ya wazazi katika Wilaya ya Chamwino mkoa wa Dodoma wamedaiwa kujaribu kutoa rushwa kwa waalimu ili watoto wao wafutwe shule kwa ...Mganga alawiti watoto sita akiwapa matibabu
Mganga wa kienyeji mkazi wa Majengo ya Mpanda mkoani Katavi, Akili Abakuki maarufu kama Jimmy (38) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa ...Wanawake wauawa, sehemu za siri zanyofolewa mkoani Mtwara
Mkuu wa Wilaya ya Masasi, Mkoa wa Mtwara, Claudia Kitta amesema wanawake watano wameuawa kikatili na watu wasiojulikana huku watatu kati yao ...