Maisha
Wafanyabiashara wanaopandisha bei watakiwa kuonyesha risiti
Mkuu wa Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga, Siriel Mchembe amesema kuwa wafanyabiashara wanawagombanisha wananchi na Serikali yao kutokana na kupandisha gharama za ...Daktari afukuzwa kwa Kumpeleka mtu Mochwari akiwa Hai
Raia mmoja mkazi wa jiji la Shanghai Nchini China amepelekwa mochwari kwa bahati mbaya akiwa hai akidhaniwa ni maiti. Mwili wa mzee ...Nape: Rasilimali za bara la Afrika zimegeuka laana
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amewataka wanatasnia ya habari barani Afrika kuhakikisha wanaisaidia jamii kubadili mtazamo kwa ...Daktari mbaroni kwa kumbaka mtoto mgonjwa
Daktari Is-haka Rashid (35) mkazi wa Kangagani Wilaya ya Wete anayehudumu katika kutuo cha afya mjini Chake Chake, anashikiliwa na Jeshi la ...Mume amfikisha mahakamani mkewe kwa kupeleka mshahara wake kanisani
Mwalimu wa shule ya Sekondari Jijini Mbeya, Julieth Kabuja (32) ameieleza Mahakama ya mwanzo Mkoani hapo kuwa ni bora ndoa yake ivunjike ...Wakala wa mabasi: Tungeendelea kuwasubiri Latra tungeumia
Wakati Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra) ikitangaza mabadiliko ya nauli za mabasi na daladala yatakayoanza Mei 14 mwaka huu, baadhi ...