Maisha
Zanzibar yapiga marufuku kupiga muziki viwanja vya sikukuu
Serikali ya Mkoa wa Kaskazini Unguja Kisiwani Zanzibar imepiga marufuku upigaji wa muziki katika viwanja mbalimbali vya kusheherekea sikukuu ya Eid-el-fitri. Akizungumza ...Wanawake waongoza Magonjwa ya Ngono Simiyu
Kamati ya Ukimwi katika Halmashauri ya Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu, imesema kuwa katika Wilaya hiyo takwimu zinaonyesha kuwa wanawake wanaongoza idadi ...Rushwa ya ngono yatawala uhamisho na upangaji vituo vya kazi kwa walimu
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Dodoma imebaini kughubikwa na vitendo vya rushwa ya ngono katika upangaji wa ...Nauli mpya za mabasi ya mikoani na daladala
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri ardhini (LATRA), leo Aprili 30, 2022 imetagaza viwango vipya vya bei ya nauli za daladala na mabasi ya ...Serikali yatoa vigezo vinavyotumika kuanzisha kituo cha Polisi
Waziri wa Mambo ya Ndani Nchi, Hamad Masauni amebainisha vigezo ambavyo hutumiwa na Serikali kuanzisha vituo vya Polisi katika maeneo yenye idadi ...Njia 5 za kujikinga dhidi ya wadukuzi wa mitandao
Uhalifu wa udukuzi hufanywa kwa nia ya kuiba data. Data hizo zinaweza kuwa taarifa zako za kifedha (ambapo wanaweza kufikia akaunti yako ...