Maisha
Kijana anayedaiwa kuua madereva bodaboda Akamatwa
Jeshi la Polisi kupitia Kamanda Kanda maalumu ya Dar es salaam, Jumanne Muliro amesema polisi wanamshikilia Iddy Omary maarufu kama ‘Chuma Steel’ ...Waliopata msamaha wa Rais kufuatiliwa
Zikiwa ni siku chache tangu Rais Samia Suluhu Hassan kutoa msamaha wa vifungo kwa wafungwa 3,826, Mkuu wa Jeshi la Polisi, Inspekta ...Mwanafunzi mtoro amponza Mtendaji Kata
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imemfikisha mahakamani Ofisa Mtendaji wa Kata ya Nkinga wilayani Igunga, Salama Habibi Ziada kwa ...Raia Mzungu ampiga Risasi mwanamke mweusi akidai ni Kiboko
Paul Hendrik van Zyl (77) raia mzungu aishie Afrika Kusini amefikishwa Mahakamani baada ya kumpiga risasi na kumjeruhi mwanamke mweusi akidai kuwa ...Samia: Sikuona uzuri wa Royal Tour
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa hasara aliyoisababisha ya kukaa nje ya ofisi siku kadhaa katika uzinduzi wa filamu ya Royal Tour ...Watoto milioni mbili hatarini kupoteza Maisha
Mkuu wa Shirika la Misaada la Umoja wa Mataifa (UN), Martin Griffiths amesema Watoto wapatao milioni mbili barani Afrika wapo katika hatari ...