Maisha
RC aagiza kukamatwa mwanahabari aliyesambaza video ya ‘shule’ chakavu
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali, Wilbert Ibuge ameagiza kukamatwa kwa mwandishi wa habari anayedaiwa kusambaza kipande cha video kwenye mtandao ...Nyaraka za ujenzi wa madarasa Mtama hazijulikani zilipo
Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Sahili Geraruma amekataa kuzindua madarasa manne yaliyojengwa kwa fedha za maendeleo zilizotolewa na Serikali ...Taliban yapiga marufuku TikTok, yaeleza sababu
Baada ya hivi karibuni kundi la Taliban kupiga marufuku muziki, sinema na michezo ya kuigiza ya televisheni, kundi hilo limetoa sharti jingine ...Ripoti ya Polio nchini Malawi yaishtua serikali ya Tanzania
Ofisa Programu wa Wizara ya Afya katika Mpango wa Taifa wa Chanjo, Lotalia Gadau amesema kampeni ya chanjo ya matone ya polio ...Bodaboda na tuhuma za kubaka na kulawiti wanafunzi Sumbawanga
Madereva wa pikipiki maarufu kama ‘bodaboda’ wanatuhumiwa kujihusisha na vitendo vya kikatili vikiwemo kuwabaka, kulawiti na kuwapa mimba wanafunzi hususani wanafunzi wa ...Ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumlawiti mtoto wa Chekechea
Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro imemhukumu Bahati Venance (30), mkazi wa Mikocheni TPC kifungo cha maisha jela kwa kupatikana ...