Maisha
Ajali yaua wanne akiwemo Mwenyekiti wa CCM Kilwa
Watu wanne, akiwemo Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kilwa, mkoani Lindi, Issa Kalupula (60), wamefariki dunia na wengine 28 wamejeruhiwa baada ya ...Mahakama yaruhusu Mpina kuendelea na mchakato wa kugombea Urais
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina, ameshinda kesi aliyofungua kupinga zuio la kurejesha fomu za uteuzi wa urais dhidi ya ...Zaidi ya Dola Bilioni 2 zinahitajika Mkakati wa Nishati Safi ya Kupikia Afrika
Zaidi ya dola bilioni 2 kwa mwaka zinahitajika ili Bara la Afrika liweze kufanikisha Mkakati wa Nishati Safi ya Kupikia, hatua inayolenga ...Amuua baba yake na kumzika kwenye shamba la familia
Mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina la Musee Ngui, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumuua baba yake, Ngui Ngunza na kumzika kwenye ...Dkt. Samia kufanikiwa kwa miradi kumetokana na usimamizi mzuri wa fedha
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu amesema kufanikiwa kwa miradi mingi ya maendeleo nchini kumetokana na ...Askari mgambo washikiliwa kwa tuhuma za wizi
Askari mgambo wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Lindi kwa tuhuma za kuhusika na wizi wa mali mbalimbali, zikiwemo za raia ...








