Maisha
Mahakama yampa Makonda siku 21
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni mkoani Dar es Salaam imetoa siku 21 kwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul ...Mtoto (13) auawa na kaka yake kisa ugomvi wa kifamilia
Mkuu wa Upelelezi Makosa ya Jinai Mkoani Morogoro, Rapha Meela amethibitisha kutokea kwa mauaji ya Faidhati Ibrahim Gadafi (13) mwanafunzi wa shule ...Shaffih Dauda afungiwa soka kwa miaka mitano, Gantala afungiwa maisha
Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imemfungia mjumbe wa mkutano mkuu wa TFF na mwanahabari Shaffih Dauda ...Mambo 6 ya kufanya kujiokoa jengo linapoungua moto
Mara nyingi ajali za moto zinapotokea watu hupoteza maisha au kupata majeraha mbalimbali kutokana na kutofahamu mambo ya kufanya kujiokoa pindi jengo ...Afariki baada ya kudaiwa kulishwa saruji na askari wa JWTZ
Mkazi wa Kijiji cha Gumba, Kata ya Gwata wilayani Kibaha mkoani Pwani, Bakari Mbagara (63) amefariki dunia kwa kile kinachodaiwa kuwa alipigwa ...Rais Samia aitenganisha Wizara ya Afya
Rais Samia Suluhu Hassan, ameiondoa Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii kutoka Wizara ya Afya ili iweze kufanyakazi kwa ufanisi zaidi. Rais ...