Maisha
Mvua yasababisha vifo vya watu 12 Dar es Salaam
Watu 12 wamefariki dunia huku nyumba 107 zikisombwa na maji jijini Dar es salaam kutokana na mvua kubwa iliyonyesha Oktoba 13 mwaka ...Wanafunzi kutoka Afrika kuzuiwa kusoma shahada Marekani
Serikali ya Rais Donald Trump inakusudia kuzuia wananfunzi kutoka katika baadhi ya nchi za Afrika na Asia kusoma shahada nchini Marekani kwa ...Ghana: Polisi watakiwa kupunguza kujamiiana kuelekea uchaguzi mkuu
Kamanda wa Polisi jijini Accra, Afful Boakye-Yiadom amewataka maafisa wa polisi kuepuka kujamiiana wakati wakijiandaa kusimamia uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika takribani miezi ...Historia fupi ya Jaji Mark Bomani aliyezikwa leo Dar
Mwanasheria Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Hayati Mark Bomani amezikwa leo katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Jaji Bomani alizaliwa Januari ...Corona: Daktari ashauri watu kutobusiana na kuvaa barakoa wakijamiiana
Daktari mwandamizi kutoka Canada amewashauri watu kutobusiana na wavae barakoa wanapojamiiana ili kudhibiti maambukizi ya virusi vya corona vinavyoendelea kuisumbua dunia. Dkt. ...Maharusi watatu wafunga ndoa pamoja kupunguza gharama
Janga la Virusi vya Corona si tu limeathiri watu kiuchumi, lakini pia kijamii hasa namna watu wanavyoshiriki katika shughuli zinazohusisha idadi kubwa ...