Maisha
BASATA yampa Harmonize siku mbili
Baraza la Sanaa la Taifa limetoa siku mbili sakata la msanii wa Bongo Fleva Rajab Abdul ‘Harmonize’ na wasanii wake Ally Omar ...Watanzania wafanya maajabu Australia’s Got Talent
Wanasarakasi wawili kutoka Tanzania, Ibrahim Ramadhani (36) na Fadi Ramadhani (26) wanaojulikana kama ‘The Ramadhani Brothers’ wamewashangaza watazamaji katika kipindi cha Australia’s ...BRELA: Hatujapokea malalamiko kuhusu Kampuni ya Kalynda
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) umesema haujapokea malalamiko rasmi kuhusiana na Kampuni ya Kalynda E Commerce Limited ambayo inadaiwa ...Mnyika: CHADEMA subirini ahadi ya Rais Samia
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewataka wanachama wake kuendelea kusubiri ahadi ya Rais Samia ya kukamilishwa mchakato wa kuruhusiwa mikutano ya ...Jeshi la Polisi lakanusha madai ya CHADEMA
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limesema kuwa limesikitishwa juu ya taarifa inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kuzuia msafara wa Katibu ...Mchungaji adaiwa kumtorosha mke wa muumini, ampangishia nyumba
Mchungaji Edwin Taji wa Kanisa la Anglicana, Yombo Kiwalani jijini Dar es Salaam anadaiwa kusimamishwa kutoa huduma ya kichungaji baada ya kudaiwa ...









