Maisha
Asilimia 96 ya waliofanya mtihani Shule Kuu ya Sheria mwaka 2022 hawajafaulu
Wanasheria na wadau mbalimbali wametaka utafiti ufanyike kubaini chanzo cha anguko kubwa la wanafunzi kwenye mtihani wa uwakili katika Shule Kuu ya ...Sababu 5 kwanini wanaume na wanawake hupeana talaka
Kuna sababu nyingi kwa nini ndoa huvunjika na kuishia kupeana talaka, lakini baadhi ni sababu za kawaida ambazo huathiri mahusiano. Daktari na ...Maafisa wa Kenya wasababisha msururu wa malori 600 Mpaka wa Namanga
Malori zaidi ya 600 yanayosafirisha bidhaa kutoka Tanzania yamekwama kwenye mpaka wa Kenya na Tanzania (Namanga) kwa zaidi ya wiki moja na ...Afikishwa mahakamani kwa kuwadhalilisha marais wastaafu Tiktok
Fabian Sebastian, mkazi wa Ubungo jijini Dar es Salaam amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa kosa la kuwadhalilisha marais wastaafu ...Makonda na Lemutuz washtakiwa kwa tuhuma za kupora Range Rover
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na William Malecela maarufu Lemutuz wamefunguliwa kesi mahakamani kwa tuhuma za uporaji ...









