Maisha
Wazee wabomoa nyumba ya kijana wao baada ya kuwatuhumu wachawi
Katika tukio la kushangaza lililotokea katika kijiji cha Kiamachongo, Bobasi nchini Kenya, wazazi wazee wameamua kubomoa nyumba ya mtoto wao mmoja kufuatia ...Wahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la mauaji
Mahakama Kuu Kanda ya Sumbawanga imewahukumu Elikana Pamasi (19) na Saguda Hushi (42) wote wakazi wa Kijiji cha Kayenze Wilaya ya Tanganyika ...Jaji asimamishwa kazi baada ya kumfunga pingu mtoto aliyesinzia mahakamani
Jaji wa Mahakama ya Wilaya ya Detroit nchini Marekani, Kenneth King amesimamishwa kazi kwa muda baada ya kumfunga pingu na kumtishia kumfunga ...Jela miaka 30 kwa kuoana dada na kaka ili wakuze ukoo
Mahakama ya Wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu imewahukumu ndugu wawili Mussa Shija, (33) kwenda jela miaka 20, na Hollo Shija (35) ...Mtoto wa miaka minne alenga na kuvunja dirisha la basi la Shabiby kwa manati
Safari ya abiria wa basi la Shabiby Line kutoka Mbeya kuelekea Dodoma ilikumbwa na kadhia isiyotarajiwa hapo jana, baada ya mvulana mwenye ...Wanawake wawili washikiliwa kwa unyang’anyi wa pikipiki
Jeshi la Polisi Wilaya ya Gairo mkoani Morogoro linawashikilia wanawake wawili kwa tuhuma za unyang’anyi wa pikipiki na fedha kwa kutumia silaha ...