Maisha
Polisi Kenya wanamsaka Mtanzania aliyeua kisa ugali
Polisi nchini Kenya wanamsaka Mtanzania anayeshukiwa kumdunga kisu mwenzake katika eneo la uchimbaji dhahabu huko Narok nchini Kenya kisa kikidaiwa ni bakuli ...Mtanzania afariki kwa Ebola nchini Uganda
Daktari ambaye ni raia wa Tanzania (37) aliyekuwa akisomea Shahada ya Uzamili ya Udaktari kwenye Upasuaji katika Chuo Kikuu cha Kimataifa cha ...Mwanafunzi ajinyonga mwalimu kumtaka anyoe nywele
Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari ya Langalanga, Shamamcy Wanjiru (17) amekutwa amejinyonga ndani ya nyumba yao eneo la ...Rais Samia: Vijana wengi wamekosa lishe bora
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kutokana na matatizo yanayowapata vijana wengi na kushindwa kuzaa watoto wenye afya njema, chanzo kikuu ni kukosa ...Tafiti: Wagonjwa wa moyo nchini waongezeka kutoka 60 hadi 500 kwa siku
Wataalamu wa moyo wamesema magonjwa ya moyo yanazidi kuongezeka nchini huku imani potofu zikiendelea kusambaa kuhusu tiba ya magonjwa hayo. Ameyasema hayo ...Utafiti: Sababu ya wagombea wa upinzani kutochaguliwa nchini
Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Utafiti REPOA umeonesha kuwa Watanzania wana hofu ya kukosa huduma muhimu za kijamii endapo watamchagua kiongozi yeyote ...








