Maisha
Ufafanuzi wa Polisi video ya askari aliyechukua fedha kwa raia wa kigeni
Baada ya kusambaa kwa video fupi katika mitandao ya kijamii ikimuonesha askari Polisi akichukua fedha kwa raia wa kigeni baada ya mazungumzo, ...Spika Tulia ahoji umuhimu wa Polisi kutangaza matukio ya mauaji ya raia
Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson ameishauri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kupitia Jeshi la Polisi kudhibiti taarifa za matukio ...Mke asimulia mume wake alivyofia kituo cha polisi
Uliriki Sabas (47) mkazi wa Kijiji cha Kirongo chini wilayani Rombo Mkoa wa Kilimanjaro amedaiwa kufariki akiwa mikononi mwa Polisi katika kituo ...Dalili 3 zinazoonesha kushindwa kwa moyo bila wewe kujua
Katika nchi zinazoendelea ugonjwa huu unazuka kwa kasi kubwa, hiyo inasababishwa na kubadilika kwa mfumo wa maisha na kutojishughulisha au kutokufanya mazoezi. ...Madaktari waomba wanaojaribu kujiua wasishtakiwe
Madaktari wanaoratibu magonjwa ya afya ya akili wameiomba Serikali kupitia upya sheria ya kuwafunga watu wanaofanya jaribio la kujiua ili wapatiwe tiba ...Agizo la Serikali kwa shule zinazochuja wanafunzi wasiofikisha viwango vya ufaulu
Serikali imepiga marufuku baadhi ya shule kuchuja wanafunzi wasiofikia kiwango kilichowekwa na shule pamoja na kuwazuia kufanya mitihani ya kitaifa kwa wanafunzi ...








