Maisha
Muhimbili: Wanaoruhusiwa kuchangia figo ni ndugu pekee
Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili imefafanua kuwa watu wanaoruhusiwa kuchangia figo ni ndugu wa karibu wa mgonjwa pekee, na uchangiaji huo ...Auawa na watu wasiojulikana na kutelekezwa relini
Mwanaume mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa kati ya miaka 45 na 50 amekutwa ameuawa kikatili kwa kukatwa mapanga mara kadhaa na ...Serikali yatoa msamaha wa kutoshitakiwa kwa watakaosalimisha silaha haramu
Jeshi la Polisi limesema Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imetoa msamaha wa kutoshitakiwa kwa wamiliki wa silaha kinyume ...TRA yakanusha mafuta ya kupikia kuingizwa kimagendo Bandari ya Bagamoyo
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekanusha taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mafuta ya kupikia kuingizwa nchini kupitia Bandari ya Bagamoyo ...Mahakama yamkuta na hatia mwana-Tiktok kwa kukejeli familia ya Rais Museveni
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkuu Entebbe nchini Uganda imemkuta na hatia mtumiaji wa Tiktok, Juma Musuuza, maarufu Madubarah, kwa makosa sita, yakiwemo ...Ahukumiwa miaka 30 jela kwa kumbaka mwanafunzi wa kidato cha Pili
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Lindi imemuhukumu kwenda jela miaka 30 Salumu Moshi Mkumbwa (20), mkulima na mkazi wa eneo la ...








