Maisha
Wanaoishi na VVU washauriwa kuacha ngono zembe
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amewataka watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi kutoacha kutumia dawa za kufubaza virusi vya ugonjwa huo (ARVs) ...Madereva wa mabasi ya shule wadaiwa kubaka, kunajisi watoto
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Godwin Gondwe amesema amepokea malalamiko mengi kutoka kwa wazazi na walezi, wakidai watoto wao kufanyiwa vitendo vya ...Watoto wafariki baada ya wazazi kuwapaka kinyesi kukausha vitovu
Watoto takribani 306 katika Halmashauri ya Manispaa ya Kahama wamepoteza maisha kutokana na wazazi wao kuwapaka kinyesi cha wanyama kwenye vitovu vyao ...Mama na binti yake wakamatwa wakicheza kwenye kaburi la mchungaji
Mama na binti yake mdogo anayesoma darasa la sita, wamenusurika kuuliwa na watu wenye hasira kali baada ya kudaiwa kunaswa wakicheza kwenye ...Adaiwa kumuua baba mzazi na kumjeruhi mama kwa kushindwa kumtafutia mke
Jeshi la Polisi mkoani Mtwara linamshikilia Kristatus Victory (23) mkazi wa Lukuledi wilayani Masasi kwa tuhuma za kumuua baba yake mzazi, Victory ...Waliozaliwa na jinsia mbili washauriwa kwenda hospitalini peke yao
Watanzania waliozaliwa na changamoto ya ulemavu wa kuwa na jinsia mbili wameshauriwa kwenda hospitalini peke yao wanapofikisha umri wa miaka 18 kwa ...









