Maisha
Vigezo 10 vinavyoangaliwa zaidi na wanaume kwa wanawake wanapotaka kuoa
Wanaume wengi wanapofikia hatua ya kuoa si kwamba hukurupuka na kuoa mwanamke yeyote, bali huchukua muda wao mwingi kuchunguza mambo mengi juu ...Kenya: Arejea nyumbani baada ya familia yake kuzika mtu mwingine
Kumetokea hali ya sintofahamu katika kijiji cha Kamukuywa eneo Bunge la Kimilili kaunti ya Bungoma nchini Kenya baada ya mwanamume aliyedhaniwa kuwa ...Mgambo auawa kituoni akiamulia ugomvi wa wapenzi
Mgambo wa Kijiji cha Mkengwa katika kisiwa cha Kibuyi wilayani Rorya, Fred William (47) amefariki dunia baada ya kuchomwa kisu shingoni alipokuwa ...Utafiti: Wanawake huathirika zaidi na uchafuzi wa hewa kuliko wanaume
Katika utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Manitoba, Winnipeg, Kanada umebaini kuwa athari za uchafuzi wa hali ya hewa huenda zikawa kali ...Morocco: Wanawake kupewa likizo yenye malipo wakati wa hedhi
Kikundi cha haki za kijami cha shirika la Bunge la nchini Morocco kimependekeza muswada utakaowaruhusu wanawake kupewa siku za likizo ya hedhi ...Sheria 6 za usalama wa mwili unazopaswa kumfundisha mtoto wako
Usalama wa mtoto wako unapaswa kuwa kipaumbele chako cha kwanza, na ni muhimu sana kumfanya mtoto wako afahamu na kumuelimisha kuhusu sheria ...









