Maisha
Kulala kupita kiasi kunavyoweza kusababisha kifo
Kulala kupita kiasi kunaitwa hypersomnia au “kulala kwa muda mrefu.” Hali hii huathiri takribani asilimia 2 ya watu. Watu walio na hypersomnia ...Nchi 10 duniani zinazoongoza kuwalipa walimu mishahara mikubwa
Malalamiko juu ya mishahara midogo kwa walimu yamekuwa yakisikika katika maeneo mengi duniani, lakini licha ya malalamiko hayo yapo maeneo ambayo walimu ...Kenya: Watumia magunia kama mbadala wa majeneza kuzika
Baadhi ya wakazi wa Ndindiruku kaunti ya Kirinyaga nchini Kenya, wamelazimika kuwazika wapendwa wao kwa magunia kutokana na kushindwa kumudu gharama kubwa ...Mchungaji jela miaka 30 kwa kumbaka mwanafunzi
Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Jimbo la Chalinze Dayosisi ya Morogoro, Boniface Mgalula amehukumiwa kwenda jela miaka 30 ...TANESCO: Kukosekana kwa umeme katika mikoa 14
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza kukosekana kwa huduma ya umeme katika baadhi ya mikoa 14 nchi nzima kutokana na hitilafu iliyotokea ...TPLB yavionya vilabu kuacha vitendo vya kishirikina uwanjani
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imezitaka klabu zote kuacha mara moja kufanya vitendo ...








