Maisha
Kenya: Msichana wa miaka 15 awaua ndugu zake wanne
Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) nchini Kenya, wanachunguza tukio la msichana wa miaka 15 anayedaiwa kuwaua wadogo zake watatu ...Njia 4 za kuondoa mning’inio ‘hangover ‘
Ikiwa umewahi kunywa pombe nyingi wakati wa usiku, basi unaelewa nini kinaweza kufuata wakati wa asubuhi. Kupata kichefuchefu, maumivu ya kichwa, kinywa ...Aina 10 za mavazi ambayo mwanuame hutakiwi kuvaa
Mavazi ni kitu cha muhimu cha kuzingatia, si kwa wanawake pekee bali kwa wanaume pia. Mavazi yanaweza kukupa tafsiri chanya au hasi ...Madhara 5 ya kutafuna kucha na jinsi ya kuacha
Watoto wengi na vijana wamekuwa wakipitia hali hii ya kutafuna kucha, lakini wengi wao kadri wanavyokua huiacha tabia hii. Wataalamu wanasema hakuna ...Wakamatwa kwa wizi wa mafuta ya magari yanayotumika katika ujenzi wa barabara
Jeshi la Polisi mkoani Kigoma linawashikilia watu watano kwa tuhuma za kuiba mafuta ya dizeli lita 700 kutoka katika mitambo na magari ...Karani atakayeshindwa kuzifikia kaya zote kutolipwa posho
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imesema haitowalipa posho makarani watakaoshindwa kuzifikia kaya 150 kwa maeneo ya mijini na kaya 100 kwa ...









