Maisha
Raia Mzungu ampiga Risasi mwanamke mweusi akidai ni Kiboko
Paul Hendrik van Zyl (77) raia mzungu aishie Afrika Kusini amefikishwa Mahakamani baada ya kumpiga risasi na kumjeruhi mwanamke mweusi akidai kuwa ...Samia: Sikuona uzuri wa Royal Tour
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa hasara aliyoisababisha ya kukaa nje ya ofisi siku kadhaa katika uzinduzi wa filamu ya Royal Tour ...Watoto milioni mbili hatarini kupoteza Maisha
Mkuu wa Shirika la Misaada la Umoja wa Mataifa (UN), Martin Griffiths amesema Watoto wapatao milioni mbili barani Afrika wapo katika hatari ...RC aagiza kukamatwa mwanahabari aliyesambaza video ya ‘shule’ chakavu
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali, Wilbert Ibuge ameagiza kukamatwa kwa mwandishi wa habari anayedaiwa kusambaza kipande cha video kwenye mtandao ...Nyaraka za ujenzi wa madarasa Mtama hazijulikani zilipo
Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Sahili Geraruma amekataa kuzindua madarasa manne yaliyojengwa kwa fedha za maendeleo zilizotolewa na Serikali ...Taliban yapiga marufuku TikTok, yaeleza sababu
Baada ya hivi karibuni kundi la Taliban kupiga marufuku muziki, sinema na michezo ya kuigiza ya televisheni, kundi hilo limetoa sharti jingine ...