Maisha
Ajikuta ndani ya jeneza amezikwa futi sita baada ya kulewa kupita kiasi
Mwanaume mmoja anayejulikana kwa jina la Victor Hugo Mica Alvarez (30) , mkazi wa Amerika Kusini ya Bolivia, amejitokeza na kueleza jinsi ...Wazazi warudisha mahari kuwanusuru watoto wao wanaoteseka kwenye ndoa
Wazazi wawili waliowaoza binti zao wenye umri wa miaka 14 wamekubali kurejesha fedha na mifugo waliyopokea kama mahari na kurudi na watoto ...Gwajima: Machinga wanaorudi barabarani wanatumiwa na wafanyabiashara wakubwa
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Wanawake na Makundi Maalum, Dorothy Gwajima ametoa onyo kwa baadhi ya wafanyabiashara wakubwa wanaowatumia wamachinga ...Fursa 6 za kibiashara zinazoweza kukupa utajiri
Afrika ni bara lililojaa fursa nyingi za biashara zinazoendeshwa na rasilimali zilizopo, teknolojia na masoko makubwa. Hakika kuna nafasi kwa mamilionea zaidi ...Mume kizimbani kwa kutishia kumuua mke kisa kupeleka chakula kwa mchungaji
Joseph Moses dereva wa ‘bodaboda’ mkazi wa Mbeya anayekabiliwa na shtaka la kutishia kumuua mkewe kwa maneno, Irene Mwaikana, ameiambia mahakama kuwa ...Serikali kurahisisha gharama za ununuzi wa gesi
Waziri wa Nishati, January Makamba amesema Serikali inakamilisha utaratibu wa kumwezesha mteja kununua gesi kwa bei ndogo kulingana na mahitaji yake. Waziri ...









