Maisha
Aliyekuwa akitumia hirizi kuwakimbia Polisi akamatwa
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Iringa, Allan Bukumbi amesema wanawashikilia watu 10 kwa tuhuma mbalimbali za uhalifu akiwemo mtuhumiwa mmoja anayedaiwa ...Nigeria: Mama wa Osinachi Nwachukwu aeleza vitisho alivyopokea toka kwa mkwewe
Kwa mara ya kwanza mama wa aliyekuwa mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini Nigeria, Osinachi Nwachukwu, Bi. Madu amezungumza kuhusu kifo cha ...Nchi 10 Afrika zinazolipa wafanyakazi mishahara mikubwa zaidi
Ni tamanio la kila anayeajiriwa ama serikalini au kwenye sekta binafsi kupata kiasi cha malipo ambacho kitawezesha kumudu gharama za maisha. Hata ...Bibi anyonga kichanga cha siku moja kwa madai ya ugumu wa maisha
Jeshi la Polisi mkoani Kigoma linamshikilia Lenita Asheri (54) kwa tuhuma za kuhusika na kifo cha mjukuu wake mwenye umri wa siku ...Fahamu namna ya kukabiliana na hasira
Hasira ni ono linalowapata binadamu na wanyama pasipo kujizuia. Katika hali hiyo mtu hughadhibika, hata kuchukia kwa kupatwa na kitu ambacho yeye ...Wasifu wa Hayati Bernard Membe
Bernard Kamilius Membe alizaliwa Novemba 9, 1953, Rondo, Chiponda, katika mkoa wa Lindi, akiwa ni mtoto wa pili kati wa watoto saba ...