Maisha
Israel yashambulia Gaza na kuua zaidi ya watu 400
Zaidi ya Wapalestina 400, wameuawa katika mashambulizi mapya ya Israel ambayo yameonekana kuvunja makubaliano ya usitishwaji wa mapigano Gaza. Hamas imeishutumu Israel ...WHO yasema zaidi ya milioni 10 wanaweza kuambukizwa HIV baada ya Marekani kusitisha misaada
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetahadharisha uwezekano wa maambukizi mapya ya HIV zaidi ya milioni 10 na vifo vya watu milioni 3, ...Rais Samia awataka watumishi wa Sekta ya Ardhi kubadilika na kuachana na vitendo vya rushwa
Rais Suluhu Hassan amewataka watumishi wa Sekta ya Ardhi nchini kubadilika na kuachana na vitendo vya rushwa pamoja na maamuzi yasiyo ya ...Serikali ya Kenya yaendelea kumpambania binti aliyehukumiwa kifo Vietnam
Serikali ya Kenya inafanya juhudi za haraka kuzuia kunyongwa kwa Margaret Nduta (37), Mkenya aliyekamatwa nchini Vietnam miaka miwili iliyopita na kuhukumiwa ...Ashikiliwa kwa kumkata kichwa na kumuua mtoto wa miaka sita
Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia mwanaume mmoja (26) mkazi wa Kijiji cha Kirwa wilayani Rombo kwa kosa la kumuua mtoto Rosemary ...