Maisha
Afungwa jela miaka 10 kwa kuwabaka mbwa 42
Mtaalamu mashuhuri wa mamba nchini Australia, Adam Britton amehukumiwa kifungo cha miaka 10 jela baada ya kukiri kuwabaka na kuwatesa mbwa zaidi ...Ateketeza majengo ya mwajiri wake na kufariki baada ya kufukuzwa kazi
Mwanaume mwenye umri wa miaka 36 amejiua katika eneo la Mwatungo, Masinga nchini Kenya baada ya kutofautiana na mwajiri wake. Kwa mujibu ...Polisi: Uchunguzi wa binti aliyefanyiwa ukatili unaendelea vizuri
Jeshi la Polisi limesema uchunguzi wa wa video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikionesha tukio la binti aliyefanyiwa vitendo vya ukatili unaendelea ...Rais: Viongozi mnaowalangua wakulima kwenye mpunga hamtendi haki
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wanaofanya biashara ya ununuzi wa mpunga kwa kuwalangua wakulima kuacha tabia hiyo kwani hawawatendei haki wakulima. ...Wanakijiji wamchangia kiwanja muuguzi kwa kuwahudumia kwa upendo
Wananchi wa Kijiji cha Ngomai Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma wamechanga zaidi ya TZS milioni 4 kwa ajili ya kumnunulia muuguzi wa ...