Maisha
Mambo 5 ya kuzingatia kabla ya kununua gari
Unapofikia uamuzi wa kununua gari, kuna mambo ya msingi unayotakiwa kuzingatia ili hata unapotaka kuliuza gari lako na kununua gari jingine au ...Orodha ya nchi 10 zenye amani zaidi Kusini mwa Jangwa la Sahara
Kipimo cha Amani Duniani, Global Peace Index (GPI) kimetaja Mauritius, Ghana na Gambia kama nchi tatu za juu zenye amani mwaka 2022 ...Bien: Mahusiano kwenye miaka ya ishirini ni kupoteza muda
Mwimbaji mkuu wa kundi la Sauti Sol nchini Kenya, Bien-Aime Baraza amesema hashauri watu waliopo katika umri wa miaka ya ishirini kuwa ...Mtanzania aondolewa mbio za mita 100 Uingereza
Mwanariadha Mtanzania katika mashindano ya mbio fupi kwa wanawake, Winfrida Makenji ameondolewa kwenye mashindano baada ya kukutwa na kosa katika kuanza mbio ...Daktari ahukumiwa miaka 25 jela kumnajisi mtoto
Daktari Jean de Dieu Maniriho kutoka Musanze nchini Rwanda, amehukumiwa kifungo cha miaka 25 jela baada ya kukutwa na hatia ya kumnajisi ...Zumaridi apangiwa hakimu mpya
Monica Ndyekobora, Hakimu aliyekuwa akisikiliza shauri la jinai namba 12/2022 linalomkabili Diana Bundala maarufu kama ‘Mfalme Zumaridi’ na wenzake 83, ameondolewa na ...









