Maisha
Wazazi watelekeza watoto, Baba aoa na mama aolewa na mtu mwingine
Mkuu wa Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro, Ngollo Malenya ameliagiza Jeshi la Polisi wilayani humo kuwasaka na kuwakamata Thomas Ulanda pamoja na ...Mifugo 314 yakamatwa kwa kuingizwa nchini kinyume na taratibu
Kamanda wa Polisi Kikosi cha Kuzuia Wizi wa Mifugo (STPU) Tanzania, Simon Pasua amesema Julai 24 mwaka huu Jeshi la Polisi lilikamata ...Wanaotoa fedha kwa ombaomba kushtakiwa
Halamshauri ya jiji la Dar es Salaam ipo katika hatua za kutunga sheria ndogo ya kuwashughulikia ombaomba ikiwemo kuwashitaki watu wote wanaowapatia ...Serikali yashauri wananchi kuongeza ulaji wa nyama na mayai
Inaelezwa kuwa pamoja na uzalishaji wa mifugo nchini, bado ulaji wa nyama kwa mtu mmoja kwa mwaka ni mdogo kitaifa ambapo takwimu ...Benki Kuu kuchunguza sarafu ya kughushi ya TZS 500 inayosambaa mitaani
Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imeanza kuchunguza sakata la sintofahamu kuhusu sarafu ya shilingi 500 baada ya kuonekana baadhi zikiwa na alama ...Aina ya watu wanaochelewa kufanikiwa
Utafiti uliofanywa na mwalimu wa saikolojia kutoka Chuo Kikuu cha Dalhousie unaonesha kuwa, watu ambao wanasubiri muda sahihi ili kutimiza jambo fulani ...









