Maisha
Wasifu wa Askofu mpya wa Jimbo la Katoliki la Mpanda, Eusebius Nzigilwa
Na Padre Richard A. Mjigwa, C.PP.S. – Vatican. Baba Mtakatifu Francisko amemteua Askofu Msaidizi Eusebius Alfred Nzigilwa kuwa Askofu mpya wa Jimbo ...Corona: Hatua za kuchukua kwa wenye wafanyakazi wa ndani kujikinga na Covid-19
Katika kukabilina na maambukizi ya virusi vya corona, watu wengi hasa wenye wasaidizi wa kazi majumbani mwao wameonesha kuwa na wasiwasi wa ...Burundi: Waangalizi wa uchaguzi wa Mei 20 kuwekwa karantini siku 14
Katikati ya janga la corona Burundi imeendelea na kampeni za uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Mei 20 mwaka huu. Taifa hilo ni miongoni ...Utafiti: Waafrika wengi watateseka njaa serikali zikiweka ‘lockdowns’
Nchi mbalimbali zikiendelea kuchukua hatua mbalimbali kudhibiti maambukizi ya virusi vya corona, mbili ya tatu ya watu walioohojiwa katika utafiti uliohusisha nchi ...Afya: Ifahamu dawa kutoka Madagascar inayoripotiwa kutibu corona
Wakati watafiti na maabara mbalimbali duniani zikiwakatika michakato ya kutafuta dawa ya kutibu homa ya mapafu (COVID-19) inayosababishwa na virusi vya corona, ...Tanzia: Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Mahiga afariki dunia
Rais Dkt. Magufuli anasikitika kutangaza kifo cha Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Dkt. Augustine Philip Mahiga (Mbunge) kilichotokea leo alfajiri tarehe ...