Maisha
Manara: Nisingetamka maneno yale kama nisingechokozwa
Kamati ya Maadili ya TFF imemfungia Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara kujihusisha na soka ndani na nje ya nchi kwa ...Kamati yaundwa kuratibu mdundo wa Kitanzania
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa ameteua kamati maalum kwa ajili ya kuratibu mdundo wenye asili ya Kitanzania. Majina ya ...Mwanamke mjamzito abakwa na wanaume wanne
Mwanamke mmoja mjamzito mkazi wa Mtaa wa Joshoni Halmashauri ya Mji wa Njombe amebakwa na wanaume wanne akiwa amefungwa kitambaa mdomoni pamoja ...Watoto watano wafariki kwa ugonjwa usiojulikana Arusha
Watoto watano wa familia moja wakazi wa kijiji cha Mswakini wilayani Monduli, mkoa wa Arusha, wamefariki dunia kwa ugonjwa ambao bado haujatambulika ...Serikali yachukua hatua uchafuzi wa mazingira ya bahari
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amesema Tanzania imeendelea kuchukua hatua mbalimbali katika kulinda mazingira ya bahari ikiwemo kupiga marufuku utumiaji wa ...Tabia 5 za mabilionea unazopaswa kuiga mwaka 2022
1. Wana nidhamu sana na wanafanya kila kitu kulinda ustawi wao wa kimwili na kiakili. Ni mara chache sana kusikia habari mbaya ...









