Maisha
Tanzania yashika nafasi ya 5 uvutaji bangi nyingi Afrika
Ripoti ya hivi karibuni kuhusu matumizi ya tumbaku iliyofanywa na kikundi cha kampeni ya afya ya umma na wasomi wa Marekani imegundua ...Wanaume Katavi: Wanawake wakipata pesa wanatunyanyasa na kutunyima tendo la ndoa
Wanaume wa Kijiji cha Mapili Halmashauri ya Milele mkoani Katavi wamesema wanashindwa kuwawezesha kiuchumi wake zao wakihofia wanawake wao kubadilika ikiwa ni ...Hizi ni faida 5 za kula bamia
Ulaji wa bamia umekuwa ukikimbiwa na watu wengi licha ya kutajwa kuwa msaada mkubwa katika mwili wa binadamu. Kwa mujibu wa tovuti ...Serikali: Tumebakisha maombi 30,000 kati ya 120,000 kuungansha umeme nchi nzima
Akiwa kwenye mkutano wa hadhara, Waziri wa Nishati, January Makamba amewahahakikishia wananchi wa Sengerema kuwa maombi yao ya kuunganishiwa umeme ifikapo Agosti ...Uber yashtakiwa na wanawake 550 kwa unyanyasaji wa kingono
Kampuni Uber inashtakiwa na wanawake 550 wanaodai kufanyiwa vitendo viovu na madereva walipokuwa wakitumia huduma ya usafiri. Malalamiko hayo yaliyowasilishwa Jumatano katika ...Wizara yapendekeza mikutano na upigaji kura vifanyike kwa mtandao
Wizara ya Fedha na Mipango- Zanzibar imependekeza matumizi ya teknolojia ya kisasa katika michakato ya uchaguzi ili kupunguza changamoto zinazojitokeza ikiwemo uwazi ...









