Maisha
Vigogo 39 wadaiwa kukwapua eneo la wananchi Mwanza, waziri aingilia kati
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula ameagiza wizara kufanya uchunguzi juu ya madai ya vigogo 39 waliomilikishwa eneo ...CWT yataka kikokotoo kirudi kwa wadau kijadiliwe upya
Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kimeitaka serikali kukirudisha kikokotoo kilichopendekezwa kwa wadau ili kijadiliwe kwa kuwa sasa kinawaumiza wafanyakazi pale wanapoenda kustaafu. ...India kuipita China kama nchi yenye watu wengi duniani
Umoja wa mataifa (UN) umetoa ripoti kuwa idadi ya watu duniani itafikia bilioni nane ifikapo Novemba 15 huku India ikitarajiwa kuchukua nafasi ...Mchungaji Msigwa awataka vijana wa CHADEMA kuacha matusi mitandaoni
Uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa umewataka wanachama wa chama hicho kuacha kutukanana katika mitandao ya kijamii, ...Utafiti: Kuongeza chumvi mezani kunapunguza umri wa kuishi
Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Tulane huko New Orleans umebaini kuwa, kuongeza chumvi kwenye chakula mezani kunaweza kupunguza umri wa kuishi. ...Kongamano la kumbukizi ya Hayati Mkapa kufanyika Zanzibar
Taasisi ya Benjamini Mkapa (BMF) kwa kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeandaa kongamano la kumbukizi ya maisha ya Rais wa ...









