Maisha
Mwanaume wa miaka 40 adai ni mtoto wa Vera Sidika
Mwanamume mmoja (40) kutoka kaunti ya Busia nchini Kenya amejitokeza hadharani na kudai kuwa yeye ni mtoto wa mwanamitindo maarufu na mfanyabiashara ...Mkurugenzi Jiji la Dar es Salaam asimamishwa kazi, akabidhiwa kwa TAKUKURU
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Jumanne Shauri na watumishi wengine ...Utafiti: Vijana wanaokunywa pombe peke yao hatarini kuto acha wakiwa watu wazima
Utafiti mpya umebaini kuwa kunywa pombe ukiwa peke yako wakati wa ujana kunaweza kuongeza hatari ya matumizi mabaya ya pombe pindi unapokuwa ...Makamba ziarani kwenye wilaya 38 kuhamasisha matumizi ya nishati salama
Waziri wa Nishati, Januari Makamba ameanza ziara ya siku siku 21 katika wilaya 38 za mikoa 14 kuhamasisha matumizi ya nishati salama ...Mtuhumiwa wa mauaji wa kukodi auawa na polisi
Mtuhumimiwa wa mauaji ya kukodiwa, Heleni Nyankole maarufu Beberu (36), Mkazi wa Kijiji cha Kapanga wilayani Tanganyika ameuawa kwa kupigwa risasi na ...Bashungwa awaonya watumishi wanaojihusisha na siasa
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Innocent Bashungwa ametoa onyo kali kwa wataalamu na watumishi ...









