Maisha
Kiswahili chatangazwa lugha rasmi Uganda
Baraza la Mawaziri la Uganda limeridhia uamuzi wa viongozi wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kutumia Kiswahili kama lugha rasmi. Akizungumza ...Ujenzi Daraja la JP Magufuli (Kigongo – Busisi) wafikia 47.3%
Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) umesema ujenzi wa Daraja la JP Magufuli linalojulikana pia kama Daraja la Kigongo-Busisi lenye urefu wa kilometa ...Wajua, si kosa trafiki anapokuomba leseni hapo hapo ukawa huna
Kifungu cha 77 cha Sheria ya Usalama Barabarani kinamtaka kila mwendesha chombo cha moto kutembea na leseni barabarani, na pia trafiki ana ...Serikali kuja na mkakati wa kupunguza vifo vya mama na mtoto
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kufikia mwaka 2025 Serikali inakusudia kupunguza vifo vya mama na mtoto kwa kujenga majengo ya mama na ...Tanzania kusaini mkataba wa ushirikiano kufundisha Kiswahili Afrika Kusini
Tanzania na Afrika Kusini zinatarajiwa kusaini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano katika masuala ya elimu msingi katika Maadhimisho ya Siku ya Kiswahili ...Wanafunzi wanaovuta bangi wawatishia walimu, waiba nyaraka za wanafunzi wenye makosa
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Iyela jijini Mbeya wanadaiwa kuungana na wanafunzi wa shule ny ingine pamoja na vijana wa mitaani kuvuta ...









