Maisha
Watu wawili hufariki dunia kila dakika kwa ajali za barabarani
Takwimu za Shirika la Afya Duniani (WHO) zimeonyesha kuwa ajali za barabarani duniani kote zinachukua maisha ya watu takribani milioni 1.3 kila ...Wanawake washauriwa kwenda na waume zao kwa Sangoma kutibiwa
Ripoti iliyotolewa na Wanamtandao wa Mkoa wa Kusini Unguja imesema Waganga wa Kienyeji wamechangia kuongezeka kwa vitendo vya udhalilishaji kwa wanawake wanaokwenda ...Wajawazito watozwa gharama tofauti za kujifungua kulingana na jinsia ya mtoto
Wananchi wa Kijiji cha Misigiri, Kata ya Ulemo wilayani Iramba mkoani Singida wamelalamikia gharama za wajawazito wanapokwenda kujifungua katika Hospitali ya Wilaya ...BAKWATA imetangaza Sikukuu ya Eid Julai 10
Baraza kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limetangaza kuwa Sikukuu ya Eid El- Adh’haa itakuwa Jumapili Julai 10 mwaka huu. Sherehe hizo kitaifa ...Utafiti: Waliougua UVIKO19 hatarini kupata upungufu wa nguvu za kiume
Wizara ya Afya imesema utafiti umebaini kuwa wanaume waliougua ugonjwa wa UVIKO-19 wako katika hatari ya kupata upungufu wa nguvu za kiume. ...Serikali: Hakuna mwanafunzi aliyepelekwa chuo cha kati bila yeye kupenda
Serikali imesema hakuna mwanafunzi ambaye amepelekwa kwenye vyuo vya kati bila yeye mwenyewe kupenda, bali wanafunzi wenyewe walifanya machaguo hayo ambayo yalionekana ...









