Maisha
Serikali: Hatutazuia safari za usiku za mabasi ya ‘hakuna kulala’
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Zuberi Homera imesema serikali haitapiga marufuku mabasi madogo ya abiria yanayofanya safari zake usiku maarufu ‘hakuna ...Mwananchi ampiga waziri kofi kanisani
Mwanamume mmoja aliyetambulika kwa jina la Michael Okurut (39) anazuiliwa na polisi baada ya kukamatwa kwa madai ya kumpiga Waziri wa Ujenzi ...Wahamiaji 14 wamefariki baada ya boti kushika moto
Takribani wahamiaji 14 wamefariki baada ya boti waliokuwa wakisafiria kuungua moto Kusini mwa nchi ya Senegal. Mamlaka nchini humo zimesema zimefanikiwa kupata ...Wenye ulemavu Tanzania wanavyosafirishwa na kutumikishwa Kenya
Mkuu wa Kitengo cha Utafiti, Takwimu katika Sekretarieti ya Kupambana na biashara haramu ya usafirishaji wa binadamu Tanzania, Alexander Lupilya amesema Serikali ...Tozo ya ving’amuzi yashuka
Serikali imepunguza kiwango cha tozo za ving’amuzi kwa kiwango cha shilingi 500 hadi shilingi 2000, itakayokuwa ikitozwa kupitia malipo ya vifurushi. Ameyasema ...Madhara yatokanayo na kutumia dawa za kuongeza nguvu za kiume
Upungufu wa nguvu za kiume ni hali ya sehemu za siri za mwanaume kuwa na uwezo mdogo au kutokuwa na uwezo kabisa ...









