Maisha
Fahamu magonjwa 6 yanayosababishwa na matumizi ya chumvi nyingi
Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), mtu mzima anatakiwa kutumia kiwango cha chumvi kisichozidi gramu tano kwa siku ili kupunguza ...Mwanafunzi wa chuo ajifungua na kumtupa mtoto nyuma ya nyumba
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT) Mwanza aliyetambulika kwa jina moja la Judith amenusurika kipigo kutoka kwa wananchi akidaiwa kujifungua ...Madhara ya kuvaa miwani ya urembo
Uvaaji miwani ya jua (Sunglasses) ni aina ya mtindo wa muda mrefu unaotumika kuongeza mvuto katika vazi, mbali na hilo husaidia kukinga ...Watumishi sekta ya afya wagoma Zimbabwe
Mamia ya watumishi wa umma wa sekta ya afya nchini Zimbabwe wamegoma kutoa huduma kutokana na mishahara kuwa midogo na mazingira duni ...Athari 5 za kuvaa Earphones kwa muda mrefu
Ni jambo la kawaida kumkuta mtu ameweka masikioni vipokea sauti masikioni(EarPhones) huku akiendelea na shughuli zake. Vifaa hivi vimekua kama msaada wa ...Afariki kwa kunywa pombe akiwa kwenye dozi
Kijana mmoja anayefahamika kwa jina la Noel Mfoi (20) mkazi wa Sanya Juu Wilaya ya Siha Mkoa wa Kilimanjaro amefarikia dunia kwa ...









