Maisha
Wanaohama Ngorongoro kwa hiari wamshukuru Rais Samia
Baadhi ya wakazi wa Ngorongoro mkoani Arusha ambao wameamua kuhama kwa hiari kwenye eneo la Hifadhi ya Ngorongoro wamemshukuru Rais Samia Suluhu ...Ashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kujifanya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Warren Max Mwinuka (20) mkazi wa Makondeko Mbeya Mjini kwa tuhuma za kujifanya Mkuu wa Mkoa ...Ugonjwa wa Homa ya Nyani kubadilishwa jina
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema linafanya kazi na wataalamu kuibua jina jipya la ugonjwa wa homa ya nyani ‘Monkeypox’ ili kuepusha ...Rais Museveni awalaumu viongozi waliopita kwa umaskini Uganda
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amewalaumu viongozi wa zamani na wakoloni kwa umaskini wa Uganda na kusema walitia sumu akili za wakulima ...Askari polisi auawa kwa mshale Loliondo
Askari Polisi mmoja ameuawa kwa kupigwa mshale wilayani Ngorongoro mkoani Arusha wakati wa zoezi la uwekaji mpaka katika eneo la pori tengefu ...Wanaowatumia wazee kuomba mitaani kuchukuliwa hatua
Serikali imesema itawafuatilia na kuwachukulia hatua za kisheria watu wanaowatumikisha wazee kuombaomba mitaani. Ameyasema hayo Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake ...









