Maisha
Polisi: Tunachunguza tukio la mtia nia kudaiwa kuchukuliwa na watu wasiojulikana Tarime
Jeshi la Polisi limesema limeanza kufanya uchunguzi tukio la mtia nia wa udiwani kata ya Sirari kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Sinda ...Utafiti: Watoto wanaotazama televisheni na simu kwa muda mrefu hatarini kupata magonjwa ya moyo
Watoto wanaotumia muda mwingi wakitazama skrini kama simu au televisheni wapo kwenye hatari kubwa ya kupata magonjwa ya moyo, matatizo ya metaboli ...Wasifu wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania Hayati Job Ndugai
Aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai amefariki dunia Agosti 06, 2025 hospitalini wakati akipatiwa matibabu. Kwa ...Exim Bank Tanzania, JKCI Zashirikiana Kuimarisha Afya ya Wafanyakazi
Benki ya Exim Tanzania, taasisi ya kifedha iliyojikita katika ustawi wa jamii, na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), kinara wa ...Ahukumiwa jela maisha kwa kulawiti watoto, adai alikosa pesa za kuwalipa ‘dada poa’
Mahakama ya Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza imemhukumu kifungo cha maisha jela Isacka Masheku (33), mkulima na mkazi wa kijiji cha Malya, ...Polisi: Tunachunguza gari la mgombea udiwani Njombe kuchomwa moto
Gari la mgombea udiwani wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Igwachanya, Wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe, Anthony Mahwata, limechomwa moto usiku ...








