Maisha
Jeshi la Polisi Tanga lakamata boti yenye mirungi kutoka Kenya
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limefanikiwa kukamata boti iliyokuwa ikisafirisha dawa za kulevya aina ya mirungi kutoka nchini Kenya kupitia Bahari ...Naibu Waziri Kipanga ajivunia SEQUIP ilivyoboresha elimu ya Sekondari Mafia
Mradi wa Kuboresha Ubora wa Elimu ya Sekondari (SEQUIP) umetajwa kuwa nguzo ya muhimu Wilayani Mafia katika Mkoa wa Pwani kwenye eneo ...Polisi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji Dodoma
Mkazi wa Kitongoji cha Mgomwa, Kata ya Matumbulu jijini Dodoma, Frank Sanga (32), amefariki dunia baada ya kudaiwa kupigwa risasi na askari ...Wawili wapoteza maisha kwenye ajali akiwemo diwani Shinyanga
Watu wawili wamefariki na wengine wawili kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha bajaji na gari lenye namba za usajili T 5677 DFA aina ya ...Mwanaharakati maarufu Kenya, Boniface Mwangi akamatwa na polisi
Mwanaharakati wa Haki za Binadamu nchini Kenya, Boniface Mwangi amekamatwa kwa tuhuma zinazohusishwa na ugaidi na kuchoma mali ya umma kwa makusudi. ...Bibi na familia yake wahukumiwa jela kwa kusambaza dawa za kulevya
Mwanamke mwenye umri wa miaka 65 amehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kwa kuendesha mtandao wa usambazaji wa dawa za kulevya nchini ...








