Maisha
Waziri wa kazi Cuba ajiuzulu baada ya kuwakashifu ombaomba
Waziri wa Kazi na Hifadhi ya Jamii wa Cuba, Marta Elena Feitó-Cabrera, amelazimika kujiuzulu baada ya kutoa kauli tata katika kikao cha ...Rais Ruto: Nimefanya maamuzi magumu na sina majuto yoyote
Rais wa Kenya, William Ruto, ameendelea kusimama imara katika ajenda yake ya kuimarisha uchumi na kupunguza gharama ya maisha, huku akiwapuuza vikali ...Miili ya watu wanne yaokotwa Handeni, Tanga
Jeshi la Polisi mkoani Tanga limesema limeokota miili ya watu wanne wakiwemo wanaume watatu na mwanamke mmoja katika maeneo tofauti ya Wilaya ...Mume ashikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya mkewe, chanzo mgogoro wa kifamilia
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linamshikilia James Lugembe (55), mkazi wa Kitongoji cha Manzese B, Kata ya Mkwatani, Wilaya ya Kilosa, kwa ...Mwenyekiti na Balozi wake wahukumiwa jela maisha kwa jaribio la kuua
Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza imewahukumu kifungo cha maisha jela watu watano, wakiwemo mwenyekiti wa kijiji na balozi wake, baada ya kupatikana ...Watu watano washikiliwa kwa tuhuma za mauaji Tabora
Jeshi la Polisi linawashikilia watu watano kwa tuhuma za mauaji ya Castory Casian Madembwe, mtumishi wa TAASAF na mkazi wa Ipuli mkoani ...








