Maisha
Ruto: Polisi wapigeni risasi za miguu
Rais wa Kenya, William Ruto, ameagiza polisi kuwapiga risasi papo hapo wahalifu wanaojificha kama waandamanaji huku wakiteketeza na kupora mali za watu ...DCEA yakamata wamiliki wa kiwanda bubu cha kuzalisha biskuti zenye bangi
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imewakamata wamiliki wa kiwanda bubu cha kuzalisha biskuti zenye viambata vya dawa ...Mwanamke apatikana na hatia ya kuua familia ya mume wake wa zamani
Erin Patterson (50) kutoka Leongatha, jimbo la Victoria kusini mwa Australia, amepatikana na hatia ya mauaji ya wazazi wa mume wake wa ...Serikali kuanzisha bima ya safari kwa raia wa kigeni wanaoingia nchini
Serikali imetangaza kuanzisha bima ya safari kwa raia wa kigeni wanaoingia Tanzania Bara itakayogharimu Dola za Marekani 44 [TZS 116,100]. Leongo la ...Orodha ya nchi 10 zenye amani zaidi Afrika
Amani ni hali ya utulivu, usalama na kutokuwepo kwa migogoro au vurugu katika jamii au taifa. Ni msingi muhimu wa maendeleo ya ...Twende Butiama 2025: Vodacom Tanzania na Stanbic Bank zaendelea kutoa matumaini kwa Watanzania
Msafara wa baiskeli wa Twende Butiama Cycling Tour 2025 umeanza rasmi Julai 3, 2025, ukiwa na waendesha baiskeli zaidi ya 180 wakiwa ...








